Karata kijiweni online
Two popular games in Tanzania, Last card and Albastini.
50+
Total Global Downloads-
Bundle ID
com.kijiweni.karata.karata -
Developer
Erovaat -
Category
Card -
Price
Free -
Update Time
Aug 28, 2024 -
0 Ratings
0
-
Bundle ID
com.kijiweni.karata.karata -
Developer
Erovaat -
category
Card
-
Price
Free -
Update Time
Aug 28, 2024 -
0 Ratings
0
Screenshots & Media
App Info
Description
Karibu tucheze michezo ya karata ya kitanzania, michezo yote ni rahisi kuicheza.Unachopaswa kufanya ni kupakua hii app na ujiunge, waarike marafiki na jamaa walioko mbali mfurahie michezo hii kiganjani mwako.Vipengele:
Jukwaa Huru:
Hili ni jukwaa la mchezo lisilokua na vizingiti vya kimfumo. Hapa unapaswa ufungue jukwaa na umwalike rafiki jukwaani kwa muda utakaopendekeza. Gharama za kufungua jukwaa zimeidhinishwa ndani ya app.
Last Card:
Anaemaliza karata mapema ndio mshindi, kila ushindi una points zake na unapandisha daraja.
Albastini:
Anaekusanya points nyingi ndie mshindi, kila ushindi una points za kukupandisha daraja. Ushindi pia unalipa
Shindano:
Hili ni shindano la Albastini ambalo ukijiunga ndani ya msimu husika unaweza jishindia mpaka coins 10,000, 000 sawa na Tsh 1,000,000
Kwanini uchague Karata?
-Ni rahisi kucheza
-Kila ushindi unalipa
-Michezo yote miwili haipagui rika.
-Ni rahisi na haraka kubadili coins kwenda shilingi
Popular IAP
--Ranking Trend
Download Trend
Last 7 Days
Last 30 Days
Last 90 Days
Customize
More by【Erovaat】
# | App | App Category | App Price | App Initial Release Date | |
1 |
Karata kijiweni online
Erovaat
|
Card | Free | Jul 23, 2024 |